Utafiti ambao unafanyia majaribio teknolojia inayodaiwa kuwa na uwezo wa kutofautisha watu wapenzi wa kawaida na wapenzi wa jinsia moja umezua mzozo mkali kati ya waliotayarisha teknolojia hiyo na ...
Je, una orodha ndefu ya manunuzi unayohitaji kukumbuka? Au majina ya wageni wa mkutano muhimu? Kuna mbinu za kumbukumbu tunazotumia kufundisha ubongo ili ufanye kazi vizuri zaidi. Hii ni njia ...
DAR ES SALAAM: SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) wamezindua Nyumba Janja yenye mfumo wa kisasa wa utakaosaidia kuongeza ...
Kuanzia Google hadi AI, kampuni kubwa za teknolojia zina ushawishi mkubwa katika habari na siasa. Washiriki wa Jukwaa la ...
Bara la Afrika linasalia kua bara linalokua katika matumizi ya teknolojia katika michezo. Hata hivyo hivi karibuni michuano mingi ya shirikisho la soka barani Afrika CAF kama vile AFCON imeonekana ...
Marekani inaendelea kutawala teknolojia ya akili mnemba, huku China ikiongeza kasi kwa kutengeneza mifumo ya gharama nafuu na kupanga kujenga uchumi unaotegemea Akili Mnemba katika siku zijazo. Mwaka ...
DAR ES SALAAM: TAASISI ya Elimu Tanzania (TET) imechukua hatua kubwa ya kuimarisha elimu ya msingi kwa kuboresha mitaala na ...