Mkurugenzi wa Yas Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Abbas Abdurahamani. Kampuni inayoongoza katika huduma za kifedha kwa njia ya simu, Mixx, imezindua rasmi kampeni yake ya “Kila Hatua Mixx” jijini Mbeya ...
Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi leo ameomba kuidhinishiwa na Bunge Sh. trilioni 2.53 kwa ajili ya matumizi ya Wizara ya Nishati na taasisi zake kwa mwaka wa fedha 2026/27, ambapo Sh. trilioni 2 ...
Chama cha ACT Wazalendo kimefungua mjadala mpya kuhusu hadhi ya Uzanzibari baada ya kuhoji mwenendo wa utoaji wa Vitambulisho vya Mzanzibari Mkaazi (ZAN ID), kikisisitiza kuwa Serikali inapaswa kuweka ...
KWA miezi kadhaa kumekuwa na kilio kuhusu kupaa kwa bei za mafuta. Sababu kubwa ya ku panda huko kwa bei za mafuta imekuwa ikielezwa kuwa ni vita kati ya Marekani na Iran huko Mashariki ya Kati. Kilio ...
WAANDISHI wa habari wanaoandika habari za kupendelea serikali au wananchi, wameonywa wasijisahau na badala yake warejee kwenye nafasi yao sahihi ya kuwa daraja kwa pande zote. Mwezeshaji mwelekezi wa ...
MPIRA wa miguu ni mchezo pendwa ambao unaunganisha watu, kuchochea uchumi na kuimarisha taswira ya taifa. Mpira wa miguu ndio mchezo ambao watu wengi wanafuatilia mashindano kuanzia yanapoanza mpaka ...
Mwanamke mmoja, Mkazi wa Mtaa wa Sabasaba, kata ya Rau, Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, amekamatwa na Jeshi la Polisi, akituhumiwa kutupa mtoto mchanga wa jinsia ya kike katika shimo la Choo.
Ulinzi na usalama unatarajiwa kuimarishwa zaidi katika Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) mwaka huu ili kuhakikisha usalama wa wafanyabiashara, washiriki na wananchi ...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ametoa wito kwa viongozi na wadau wa maendeleo mkoani humo kupambana na vitendo vya rushwa, akisisitiza kuwa tabia hiyo ni kikwazo kikubwa ...