MJADALA mzito umeibuka katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, baada ya upande wa utetezi wa Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kuibua hoja ya makosa ...
Vijana 100 waliofuzu katika shindano la Vijana Uchumi Challenge wameingia kambini katika Shule ya Uongozi ya Mwalimu Nyerere, Kibaha mkoani Pwani, kwa ajili ya mchujo wa awamu ya pili utakaowachuja ...
Mvutano wa kisiasa umeibuka katika Baraza la Wawakilishi Zanzibar baada ya wajumbe wa ACT Wazalendo kutokuwepo ukumbini wakati wa hatua za mwisho za kupitishwa kwa Bajeti Kuu ya Serikali ya mwaka 2026 ...
Ulinzi na usalama unatarajiwa kuimarishwa zaidi katika Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) mwaka huu ili kuhakikisha usalama wa wafanyabiashara, washiriki na wananchi ...
Mkurugenzi wa Yas Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Abbas Abdurahamani. Kampuni inayoongoza katika huduma za kifedha kwa njia ya simu, Mixx, imezindua rasmi kampeni yake ya “Kila Hatua Mixx” jijini Mbeya ...
MPIRA wa miguu ni mchezo pendwa ambao unaunganisha watu, kuchochea uchumi na kuimarisha taswira ya taifa. Mpira wa miguu ndio mchezo ambao watu wengi wanafuatilia mashindano kuanzia yanapoanza mpaka ...
Chama cha ACT Wazalendo kimefungua mjadala mpya kuhusu hadhi ya Uzanzibari baada ya kuhoji mwenendo wa utoaji wa Vitambulisho vya Mzanzibari Mkaazi (ZAN ID), kikisisitiza kuwa Serikali inapaswa kuweka ...
WAANDISHI wa habari wanaoandika habari za kupendelea serikali au wananchi, wameonywa wasijisahau na badala yake warejee kwenye nafasi yao sahihi ya kuwa daraja kwa pande zote. Mwezeshaji mwelekezi wa ...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ametoa wito kwa viongozi na wadau wa maendeleo mkoani humo kupambana na vitendo vya rushwa, akisisitiza kuwa tabia hiyo ni kikwazo kikubwa ...
Results that may be inaccessible to you are currently showing.
Hide inaccessible results