Mkurugenzi wa Yas Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Abbas Abdurahamani. Kampuni inayoongoza katika huduma za kifedha kwa njia ya simu, Mixx, imezindua rasmi kampeni yake ya “Kila Hatua Mixx” jijini Mbeya ...
Chama cha ACT Wazalendo kimefungua mjadala mpya kuhusu hadhi ya Uzanzibari baada ya kuhoji mwenendo wa utoaji wa Vitambulisho vya Mzanzibari Mkaazi (ZAN ID), kikisisitiza kuwa Serikali inapaswa kuweka ...
Wananchi, viongozi wa serikali na wadau wa mazingira wameungana katika zoezi la upandaji miti kando ya Mto Mpiji katika Kitongoji cha Kimere, Kata ya Mapinga, Wilaya ya Bagamoyo, ikiwa ni sehemu ya ...
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imetangaza ratiba kamili ya Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025, huku wapiga kura wa mapema wakitarajiwa kupiga kura Oktoba 28 visiwani humo. Akizungumza na ...
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, amepongeza Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha kwa namna walivyosimamia utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika kipindi cha mwaka ...
Mwanamke mmoja, Mkazi wa Mtaa wa Sabasaba, kata ya Rau, Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, amekamatwa na Jeshi la Polisi, akituhumiwa kutupa mtoto mchanga wa jinsia ya kike katika shimo la Choo.
SHIRIKA la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), limesema lipo tayari kulisaidia Jeshi la Magereza la Tanzania ili kuondokanana changamoto zake ili isiwe kituo cha kutoa adhabu bali liwe jeshi la ...
Ulinzi na usalama unatarajiwa kuimarishwa zaidi katika Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) mwaka huu ili kuhakikisha usalama wa wafanyabiashara, washiriki na wananchi ...
Soko la Tanzania linaelekea kupata faida kutokana na upatikanaji wa vifaa vya ujenzi wa kutosha na wa gharama nafuu kufuatia uzinduzi wa hivi karibuni wa Kiwanda cha Chuma cha Powerful Diligent ...
ROAD accidents in Zanzibar have recorded a worrying rise, with fatalities nearly tripling year-on-year, raising fresh concerns over road safety and enforcement across the islands. Official statistics ...
Sekta ya maziwa nchini imeendelea kuimarika, ikitajwa kuwa miongoni mwa nguzo muhimu za uchumi kwa kugusa maisha ya takribani kaya milioni 4.6 zinazotegemea uzalishaji na biashara ya maziwa pamoja na ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results