Mwanamke mmoja, Mkazi wa Mtaa wa Sabasaba, kata ya Rau, Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, amekamatwa na Jeshi la Polisi, akituhumiwa kutupa mtoto mchanga wa jinsia ya kike katika shimo la Choo.
Ulinzi na usalama unatarajiwa kuimarishwa zaidi katika Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) mwaka huu ili kuhakikisha usalama wa wafanyabiashara, washiriki na wananchi ...
Chama cha ACT Wazalendo kimefungua mjadala mpya kuhusu hadhi ya Uzanzibari baada ya kuhoji mwenendo wa utoaji wa Vitambulisho vya Mzanzibari Mkaazi (ZAN ID), kikisisitiza kuwa Serikali inapaswa kuweka ...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ametoa wito kwa viongozi na wadau wa maendeleo mkoani humo kupambana na vitendo vya rushwa, akisisitiza kuwa tabia hiyo ni kikwazo kikubwa ...
Vijana 100 waliofuzu katika shindano la Vijana Uchumi Challenge wameingia kambini katika Shule ya Uongozi ya Mwalimu Nyerere, Kibaha mkoani Pwani, kwa ajili ya mchujo wa awamu ya pili utakaowachuja ...
PAMBA Jiji striker Mathew Tegis believes his recent hat-trick has boosted his chances of challenging for the Mainland Premier League Golden Boot award as he looks to surpass the scoring record he set ...
Chief of Staff of the Tanzania People's Defence Force (TPDF), Lieutenant General Salum Haji Othman (left), presents a certificate of appreciation to United Nations Development Programme (UNDP) ...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, ametangaza kusitishwa kwa vikwazo vya mafuta na kuondolewa kwa mzingiro wa majini. Aidha, Araghchi amesema baadhi ya mali za Iran zilizokuwa zimezuiwa ...