Vigogo wa soka nchini, Simba na Yanga, leo watashuka katika viwanja tofauti nchini kuendelea na mbio za kusaka ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Timu hizo zote zitakuwa ugenini zikicheza mechi zao za ...
SERIKALI imesema inawahitaji sana wataalam wa sayansi ya chakula ili kuongeza thamani ya mazao yanayozalishwa hapa nchini kwa faida ya wakulima na uchumi wa taifa. Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya ...
MSHINDI wa Kombe la Dunia mara mbili na Brazil, Cafu amesema anaamini mashindano ya mwaka huu ni wakati muafaka kwa mabingwa hao mara tano kutwaa taji hilo kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka ...
NCHINI Kenya hivi leo kunatarajiwa kushuhudiwa maandamano ya kupinga kupanda kwa bei ya mafuta. Kwa sasa lita ya petroli inauzwa kwa Sh. 197.60 za Kenya (sawa na Sh. 3,953.7) wakati dieseli ikiuzwa ...
WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema Tanzania ina mtandao mkubwa zaidi wa barabara kulinganisha na nchi yoyote jirani huku akisifu jitihada za Watanzania kwenye kujenga taifa lao kwa nguvu na ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results