Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, amewataka wananchi kupuuza wito wa kushiriki maandamano yanayoratibiwa na badala yake kuelekeza nguvu zao ...
Serikali kupitia Wizara ya Fedha imeliomba Bunge kuidhinisha jumla ya shilingi trilioni 21.3 kwa ajili ya utekelezaji wa majukumu ya Wizara hiyo pamoja na taasisi zake kwa Mwaka wa Fedha 2026/27.
Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) leo limetoa rasmi orodha ya vilabu 75 bora vya soka barani kwa mwaka 2025, likiwa ni tathmini ya mafanikio ya klabu katika michuano ya CAF kwa misimu ya hivi ...
Serikali imesema Bajeti Kuu ya mwaka wa fedha 2026/27 ni ya kipekee kwa kuwa ndiyo bajeti ya kwanza itakayotumika kutekeleza Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, Mpango wa Nne wa Maendeleo wa Taifa wa ...
Familia ya Rais wa awamu ya tano, Hayati Dk. John Pombe Magufuli imemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuwaashika mkono tangu kifo cha mpendwa wao hadi sasa. Pongezi hizo zimetolewa na ...
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imeanza kupita njia zinazotumiwa na baadhi ya bandari kubwa duniani katika kuboresha na kuendeleza miundombinu yake ili kuongeza tija, kuvutia uwekezaji ...
TANZANIA imeliomba taifa la China kushirikiana katika ujenzi wa Kituo cha Urithi wa Ukombozi wa Afrika kitakachojengwa Dodoma, ikiwa ni mradi wenye lengo la kuhifadhi historia ya harakati za ukombozi ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results