WAZIRI Mkuu Dk. Mwigulu Nchemba amesema kuna haja ya kutafuta mbinu mpya ya kukieneza Kiswahili baada ya kuwa kimepata hadhi ...
Chama cha Wafanyabiashara wa Ukraine nchini Japani kimezindua mpangokazi wa ushirikiano wa kutoa teknolojia ya kisasa ya ...
GENEVA: Tanzania imetoa wito wa kuimarishwa kwa ushirikiano wa kimataifa ili kuhakikisha maendeleo ya kasi ya Akili Unde (AI) ...
Uchunguzi wa kisayansi wa hivi karibuni unaonyesha kwamba simu yako na vifaa vingine vya kielektroniki huenda vinabadilisha ...
Kifaa cha uchunguzi wa anga za juu cha Japani, Hayabusa2, kinatarajiwa kufanya uchunguzi wa karibu wa asteroidi ya Torifune ...
CROATIA walijikuta wakiondoka Kombe la Dunia wakiwa na majonzi makubwa baada ya teknolojia ya VAR na mfumo unaofanana na “Snicko” kuwanyima bao la kusawazisha katika dakika za mwisho za ...
Teknolojia mpya inayotumia akili mnemba (AI) inatafuta na kupata seli za manii za wanaume ambao waliambiwa hawana uwezo wa ...
Jamii za wakulima na wafugaji barani Afrika zimehimizwa kukumbatia teknolojia na mbinu za kisasa ili kuongeza uzalishaji na hivyo kuchangia kuongezeka kwa Pato la Taifa, GDP na kupunguza utapiamlo.
JANA ndiyo ilikuwa siku ya mwisho ya msimu wa mwaka 2025-2026 wakati timu zote zilipomaliza mechi zao pamoja katika Ligi Kuu Bara, ikiwa ni siku tano zaidi ya siku ya mwisho ya msimu uliopita ...
Mwaka 2024, Keir Starmer aliahidi ushirikiano mpya wa Uingereza na Afrika. Miaka miwili baadaye, amejiuzulu akiacha ahadi ...