MJADALA mzito umeibuka katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, baada ya upande wa utetezi wa Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kuibua hoja ya makosa ...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimepinga agizo la Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, la kuzuia mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa, kikisema hatua hiyo ni kinyume na ...
Mwanamke mmoja, Mkazi wa Mtaa wa Sabasaba, kata ya Rau, Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, amekamatwa na Jeshi la Polisi, akituhumiwa kutupa mtoto mchanga wa jinsia ya kike katika shimo la Choo.
Ulinzi na usalama unatarajiwa kuimarishwa zaidi katika Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) mwaka huu ili kuhakikisha usalama wa wafanyabiashara, washiriki na wananchi ...
Chama cha ACT Wazalendo kimefungua mjadala mpya kuhusu hadhi ya Uzanzibari baada ya kuhoji mwenendo wa utoaji wa Vitambulisho vya Mzanzibari Mkaazi (ZAN ID), kikisisitiza kuwa Serikali inapaswa kuweka ...
Vijana 100 waliofuzu katika shindano la Vijana Uchumi Challenge wameingia kambini katika Shule ya Uongozi ya Mwalimu Nyerere, Kibaha mkoani Pwani, kwa ajili ya mchujo wa awamu ya pili utakaowachuja ...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ametoa wito kwa viongozi na wadau wa maendeleo mkoani humo kupambana na vitendo vya rushwa, akisisitiza kuwa tabia hiyo ni kikwazo kikubwa ...
PAMBA Jiji striker Mathew Tegis believes his recent hat-trick has boosted his chances of challenging for the Mainland Premier League Golden Boot award as he looks to surpass the scoring record he set ...
MPIRA wa miguu ni mchezo pendwa ambao unaunganisha watu, kuchochea uchumi na kuimarisha taswira ya taifa. Mpira wa miguu ndio mchezo ambao watu wengi wanafuatilia mashindano kuanzia yanapoanza mpaka ...