MJADALA mzito umeibuka katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, baada ya upande wa utetezi wa Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kuibua hoja ya makosa ...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimepinga agizo la Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, la kuzuia mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa, kikisema hatua hiyo ni kinyume na ...
Waziri Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba, amewataka watanzania kuendelea kushirikiana katika kulinda amani na usalama wa nchi kwa kutopuuzia viashiria vinavyoweza kuhatarisha utulivu wa Taifa, akisisitiza ...
Wimbi la viongozi na wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF) kujiondoa ndani ya chama hicho limeendelea kushika kasi baada ya wanachama 40, wakiwemo viongozi 15 wa ngazi mbalimbali, kutangaza kuachana ...
Mwanamke mmoja, Mkazi wa Mtaa wa Sabasaba, kata ya Rau, Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, amekamatwa na Jeshi la Polisi, akituhumiwa kutupa mtoto mchanga wa jinsia ya kike katika shimo la Choo.
Ulinzi na usalama unatarajiwa kuimarishwa zaidi katika Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) mwaka huu ili kuhakikisha usalama wa wafanyabiashara, washiriki na wananchi ...
Chama cha ACT Wazalendo kimefungua mjadala mpya kuhusu hadhi ya Uzanzibari baada ya kuhoji mwenendo wa utoaji wa Vitambulisho vya Mzanzibari Mkaazi (ZAN ID), kikisisitiza kuwa Serikali inapaswa kuweka ...
Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, amewasili mkoani Kilimanjaro kwa ziara ya siku moja yenye lengo la kuzindua rasmi huduma za tiba ya mionzi katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya KCMC, hatua inayotarajiwa ...
Vijana 100 waliofuzu katika shindano la Vijana Uchumi Challenge wameingia kambini katika Shule ya Uongozi ya Mwalimu Nyerere, Kibaha mkoani Pwani, kwa ajili ya mchujo wa awamu ya pili utakaowachuja ...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ametoa wito kwa viongozi na wadau wa maendeleo mkoani humo kupambana na vitendo vya rushwa, akisisitiza kuwa tabia hiyo ni kikwazo kikubwa ...