Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimepinga agizo la Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, la kuzuia mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa, kikisema hatua hiyo ni kinyume na ...
Mwanamke mmoja, Mkazi wa Mtaa wa Sabasaba, kata ya Rau, Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, amekamatwa na Jeshi la Polisi, akituhumiwa kutupa mtoto mchanga wa jinsia ya kike katika shimo la Choo.
Ulinzi na usalama unatarajiwa kuimarishwa zaidi katika Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) mwaka huu ili kuhakikisha usalama wa wafanyabiashara, washiriki na wananchi ...
Chama cha ACT Wazalendo kimefungua mjadala mpya kuhusu hadhi ya Uzanzibari baada ya kuhoji mwenendo wa utoaji wa Vitambulisho vya Mzanzibari Mkaazi (ZAN ID), kikisisitiza kuwa Serikali inapaswa kuweka ...
Vijana 100 waliofuzu katika shindano la Vijana Uchumi Challenge wameingia kambini katika Shule ya Uongozi ya Mwalimu Nyerere, Kibaha mkoani Pwani, kwa ajili ya mchujo wa awamu ya pili utakaowachuja ...
PAMBA Jiji striker Mathew Tegis believes his recent hat-trick has boosted his chances of challenging for the Mainland Premier League Golden Boot award as he looks to surpass the scoring record he set ...
Chief of Staff of the Tanzania People's Defence Force (TPDF), Lieutenant General Salum Haji Othman (left), presents a certificate of appreciation to United Nations Development Programme (UNDP) ...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, ametangaza kusitishwa kwa vikwazo vya mafuta na kuondolewa kwa mzingiro wa majini. Aidha, Araghchi amesema baadhi ya mali za Iran zilizokuwa zimezuiwa ...
JAMII imeshauriwa kuwa makini na watu wanaotoa ushauri wa kisaikolojia kupitia mitandao ya kijamii bila kuwa na sifa stahiki, kwakuwa ushauri usio sahihi unaweza kuongeza matatizo ya akili, badala ya ...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia kijana Kulwa Medard (14), mkazi wa Kijiji cha Bugatu Wilaya ya Magu, kwa tuhuma za kumuua pacha wake, Dotto Medard (14), baada ya kumpiga kwa fimbo ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results