Renew subscription Maybe later Hello Renew subscription Maybe later Subscribe for a month to get full access ...
Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa ...
Dar es Salaam. Wakati Yanga ikisherehekea paredi la ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa mara ya tano mfululizo, mashabiki wa Simba wamezidi kujifariji kwa bao lililofungwa na nyota wa kikosi hicho, Clatous ...
Dar es Salaam. Wakati baadhi ya mikoa ya Tanzania ikiendelea kushuhudia hali ya baridi katika kipindi hiki cha msimu wa mwaka, mataifa ya Ulaya yanakabiliwa na athari mbaya za wimbi la joto kali ...
Dar es Salaam. Wakati Yanga ikisherehekea ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa kufanya paredi leo Jumamosi ya Julai 4, 2026, mashabiki kadhaa wa timu hiyo wameonekana Kutoridhishwa na utaratibu uliotumika wa ...
Ni baada ya serikali ya kijeshi ya nchi hiyo kusitisha kwa muda usiojulikana shughuli za ofisi hiyo, hatua iliyosababisha taasisi hiyo kukosa uwezo wa kuendelea na kazi zake za ufuatiliaji, uchambuzi ...
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa ACT - Wazalendo, Othman Masoud Othman amesema mazungumzo yanayoendelea kuhusu mwafaka wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) yamefikia hatua nzuri, huku akiwataka wanachama ...
Dar es Salaam. Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeitoza Klabu ya Yanga, faini ya Sh100 milioni baada ya kubainika kuwa wachezaji na benchi la ufundi walitumia nyumba iliyo nje ya uwanja badala ya ...
Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania na ya Marekani leo Jumatano, Julai 1, 2026 zimesaini Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano katika Sekta ya Afya (MoU) ya miaka mitano yenye thamani ya zaidi ya dola ...
Mwenyekiti wa Mpito wa Bodi ya Tanzania Breweries PLC, Ami Mpungwe, (kushoto), Michelle Kilpin Mtendaji Mkuu wa TBL) Michelle Kilpin, (Katikati) na Avito Swai, Mkuu wa Kitengo cha Fedha TBL (Kulia) ...
Dar es Salaam. Licha ya idadi kubwa ya wagonjwa wa shinikizo la damu nchini kuwa na uelewa mzuri kuhusu namna ya kudhibiti ugonjwa huo, wengi wao bado hawafuati ipasavyo mbinu za kujitunza ...
Dar es Salaam. Dereva wa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, John Heche, Suez Maradafu, amefariki dunia katika nyumba ya wageni aliyokuwa amefikia mkoani Kigoma.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results