Simba imetwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho la CRDB baada ya leo Jumamosi, Julai 4, 2026 kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Azam FC katika Uwanja wa Gombani, Pemba. Bao pekee lililoipa Simba taji ...
Dar es Salaam. Wakati Yanga ikisherehekea paredi la ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa mara ya tano mfululizo, mashabiki wa Simba wamezidi kujifariji kwa bao lililofungwa na nyota wa kikosi hicho, Clatous ...
Dar es Salaam. Kamati Kuu Maalumu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, imeridhia mwendelezo wa mazungumzo na makubaliano ya kufikia mwafaka kati ya chama hicho na ACT-Wazalendo, ...
Dar es Salaam. Wakati baadhi ya mikoa ya Tanzania ikiendelea kushuhudia hali ya baridi katika kipindi hiki cha msimu wa mwaka, mataifa ya Ulaya yanakabiliwa na athari mbaya za wimbi la joto kali ...
Dar es Salaam. Wakati Yanga ikisherehekea ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa kufanya paredi leo Jumamosi ya Julai 4, 2026, mashabiki kadhaa wa timu hiyo wameonekana Kutoridhishwa na utaratibu uliotumika wa ...
Renew subscription Maybe later Hello Renew subscription Maybe later Subscribe for a month to get full access ...
Ni baada ya serikali ya kijeshi ya nchi hiyo kusitisha kwa muda usiojulikana shughuli za ofisi hiyo, hatua iliyosababisha taasisi hiyo kukosa uwezo wa kuendelea na kazi zake za ufuatiliaji, uchambuzi ...
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa ACT - Wazalendo, Othman Masoud Othman amesema mazungumzo yanayoendelea kuhusu mwafaka wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) yamefikia hatua nzuri, huku akiwataka wanachama ...
Marekani. Miaka 22 baada ya kuitikisa dunia na kuvuna zaidi ya dola za Marekani milioni 612. Filamu maarufu ya Kikristo, The Passion of the Christ, inarejea na mwendelezo mpya uitwao The Resurrection ...
Dar es Salaam. Mwili wa Suezi Maradufu, aliyekuwa dereva wa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche umefanyiwa uchunguzi wa kisayansi, huku sampuli zikichukuliwa ...
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu ameiwekea pingamizi Jamhuri katika maombi ya mapitio iliyowasilisha Mahakama ya Rufani, akidai hayana msingi wa ...
Dar es Salaam. Licha ya idadi kubwa ya wagonjwa wa shinikizo la damu nchini kuwa na uelewa mzuri kuhusu namna ya kudhibiti ugonjwa huo, wengi wao bado hawafuati ipasavyo mbinu za kujitunza ...